Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akikata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha Polisi Mto wa Mbu kilichopo Wilaya
ya Monduli Mkoani Arusha kilichokarabatiwa na Vodacom Foundation kwa
mara ya kwanza tangia kijengwe mwaka 1967,kwa gharama ya shilingi
milioni 17.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Thobias Andengenye na kulia ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya kaskazin Nguvu Kamando.
Mkuu
wa Kituo cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli
Arusha.(INSP)Amilton Matangi akiwaonyesha moja ya chumba cha mahabusu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Thobias Andengenye kulia
na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita
Makamba mara baada ya uzinduzi wa kituo hicho,Jumla ya shilingi Milioni
17 zilitumika kukikarabati kituo hicho tangia kijengwe mwaka 1967.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC).Thobias Andengenye akipanda mti wa
ukumbusho wa uzinduzi wa kituo cha polisi cha Mto wa Mbu kilichopo
Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha baada ya kukarabatiwa na
Vodacom Foundation kwa mara ya kwanza tangu kijengwe mwaka 1967 na
kugharimu kiasi cha shilingi milioni 17, wakishuhudia ni Mkuu wa Kituo
hicho INSP Amilton Matagi ,Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom
Tanzania Mwamvita Makamba ,Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini,Nguvu
Kamando.
Mkuu wa Polisi Jamii wa Kituo cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli
Mkoani Arusha,Issaya Doya akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Masoko na
Mahusiano wa VodacomTanzania Mwamvita Makamba, wakati wa sherehe ya
kakabidhi rasmi kituo hicho kilichakarabatiwa kwa mara ya kwanza na
Vodacom Foundation kwa thamani ya shilingi Milioni 17,tangu kijengwe
mwaka 1967.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC) Thobiasi Andengenye
akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania
Mwamvita Makamba,wakati wa hafla ya kukabidhiwa kituo cha Mto wa Mbu
kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha , kilichokarabatiwa kwa mara
ya kwanza na Vodacom Tanzania kwa thamani ya Shilingi Milioni 17 tangia
kijengwe mwaka 1967.katikati ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Karatu ( OCD )
Mathias Nyange.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akipongezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Thobias Andengenye katika hafla ya uzinduzi na makabidhiano ya kituo
cha Polisi cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani
Arusha,Jumla ya shilingi Milioni 17 zilitumika katika kukarabati kituo
hiuchi. Kulia ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini.Nguvu Kamando.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Arusha Thobias Andengenye kushoto akisalimiana na
Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini Nguvu Kamando kulia wakati
wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha Polisi cha Mto wa Mbu
kilichokarabatiwa na Vodacom Foundation katikati ni Ofisa Mkuu wa
Masoko na Mahusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba akishuhudia, Jumla
ya shilingi Milioni17.zimetumika katika ukarabati wa kituo hicho kwa
mara ya kwanza tangu kijengwe mwaka 1967.
Baadhi ya wananchi wa Mto wa Mbu wa Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wakishuhudia Makabidhiano rasmi
ya Kituo cha Polisi cha Wilaya hiyo mara baada ya kukarabatiwa na
Vodacom Foundation kwa mara ya kwanza tangu kijengwe mwaka 1967 na
kugharimu kiasi cha shilingi milioni 17.
Waandishi wa habari wakiwa kazini kama kawa wakati wa Makabidhiano rasmi
ya Kituo cha Polisi cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani
Arusha kilichokarabatiwa kwa mara ya kwanza na Vodacom Foundation,
tangu kujengwa kwake mwaka 1967,Maboresho hayo yamegharimu kiasi cha
shilingi milioni 17.
Kituo
cha Polisi Cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha
kikionekana katika muonekano mpya baada ya kukarabatiwa na kampuni ya
Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kiasi cha shilingi Milioni 17 kwa
mara ya kwanza tangu kijengwe mwaka 1967.
No comments:
Post a Comment