Maofisa
wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa
Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan alipokuwa amekwenda kwa
ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo.Ofisa huyo alizikwa
jana katika makaburi ya Kisutu. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment