Vijana wakitembeza Miti katikati ya mji wa Moshi
Askari wa Usalama Barabarani akiikagua hii Gari katika stand ya Mbuyuni Mjini Moshi
Wakazi wa Mji wa Moshi wakicheza Bao baada ya shuguli za Kutwa
Barabara za Mji wa Moshi zikionekana kusongamana kutokana na kuwa na idadi kubwa ya Magari na Watu
Hili ni Soko ambalo hata Hivyo, kuna Mpango wa kuhamishwa kutoka katikati ya Mji na kupelekwa nje ya Mji, kwa kuwa hivi sasa mji wa Moshi unaitajika kufanyiwa upanuzi(miundo mbinu)
Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mji wa Moshi wakiendelea na Shuguli zao
Hili ni lango la kuingia katika Soko Kuu la Mjini Moshi
Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mji wa Moshi wakiendelea na Shuguli zao
Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mji wa Moshi wakiendelea na Shuguli zao
Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mji wa Moshi wakiendelea na Shuguli zao
Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mji wa Moshi wakiendelea na Shuguli zao na picha hizo hapo juu
Hapa ni Sehemu Palipotengwa kwa ajili ya kutupa Taka katika Soko Kuu la Mjini Moshi
Eneo la Soko Kuu la Moshi
Wafanyabiashara(Mama Ntilie) wakionekana kupika na kuuza Vyakula Pembeni mwa Barabara katika Halmashauri ya Mji wa Moshi
Mama akipata Huduma ya kusukwa katika Eneo maalum la Masai mtaa wa Mbuyuni
Shule hii inapatikana katika mji wa Moshi Mjini
Hizi ni Baadhi ya Barabara zinazoingia katika Mji wa Moshi zikiwa katika hali mbaya kiasi cha kuwa Kero kwa Wapita Njia na Wenye Magari
Eneo la Kiwanda cha Bia Tanzania(TBL) Mjini Moshi
Eneo la Kiwanda cha Gesi Mjini Moshi
Kiwanda cha Bia Tanzania(TBL) Kilichopo Moshi
Eneo la Machinjio ya Ng"ombe katika mji wa Moshi ikionekana kutlekezwa
Wakazi wa eneo la Mbuyuni Mjini Moshi wakiendelea na upakiaji wa Mchanga, aikujulikana mchanga huo ulipelekwa wapi
Eneo la Machinjio ya Ng"ombe katika mji wa Moshi ikionekana kutlekezwa
Eneo la Machinjio ya Ng"ombe katika mji wa Moshi ikionekana kutlekezwa
Hizi ni Baadhi ya Barabara zinazoingia katika Mji wa Moshi zikiwa katika
hali mbaya kiasi cha kuwa Kero kwa Wapita Njia na Wenye Magari

Wakazi wa Mji wa Moshi wakiwa katika Upakuzi wa Mizigo eneo la Viwanda

Kina mama wakiwa katika Biashara katika Mitaa ya Halmashauri ya Mji wa MoSHI
Pikipiki za Kichina zikiwa Zimepangwa katika Mitaa ya Barabara za Mji wa Moshi
wakiwa katika Mitaa Mjini Moshi
Kina mama wakiuza Ndizi eneo la mjini , mjini Moshi
Wajenzi wa Ghorofa mjini Moshi wakiendelea na Ujenzi
Machinga wa Mjini Moshi wakiwa pembezoni mwa Barabara ya Polisi Central wakiendelea na Biashara zao, Mji wa Moshi bado haujatengwa kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo
Machinga wa Mjini Moshi wakiwa pembezoni mwa Barabara ya Polisi Central
wakiendelea na Biashara zao, Mji wa Moshi bado haujatengwa kwa ajili ya
wafanyabiashara ndogondogo
Wapakua Mizigo wakiendelea na Upakuzi katika Eneo la Viwanda Mjini Moshi
Machinga wa Mjini Moshi wakiwa pembezoni mwa Barabara ya Polisi Central
wakiendelea na Biashara zao, Mji wa Moshi bado haujatengwa kwa ajili ya
wafanyabiashara ndogondogo
Wakazi wa Mji wa Moshi wakisubiri Usafiri wa Daladala katika Barabara ya MAHAKAMA(Picha Zote na Shaaban Mpalule).
No comments:
Post a Comment