Mkuu
wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona, (kulia)
akiwazawadia wazee wa Mji mdogo wa Mirerani sh 50,000 baada ya
kuzungumza nao na kuwakabidhi msaada wa magunia 100 ya mahindi
yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya TanzaniteOne Hussein Gonga.
Mkuu
wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona, (kulia)
akiwazawadia wazee wa Mji mdogo wa Mirerani sh50,000 baada ya
kuzungumza na wazee wa mji huo na kuwakabidhi msaada wa magunia 100 ya
mahindi yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya TanzaniteOne Hussein
Gonga.
Mkuu
wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona, akigawa kwa
wazee wa mji mdogo wa Mirerani, moja kati ya magunia 100 ya mahindi ya
msaada yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya TanzaniteOne Hussein
Gonga, kwenye ofisi za Sawata.
Mkuu
wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona, akizungumza na
wazee wa mji mdogo wa Mirerani na kuwagawia msaada wa magunia 100 ya
mahindi ya msaada yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya TanzaniteOne
Hussein Gonga, kwenye ofisi za Sawata.
No comments:
Post a Comment