TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, December 11, 2015

Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za SADC wahitimishwa jijini Dar es salaam.

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa  uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo baada  ya  kuonekana kufanya vizuri katika uhamaji wa matumizi ya mfumo wa analogia kwenda digitali kwa wakati.

Rebeca Malope kutikisa Diamond Tamasha la Krismasi


Na Mwandishi Wetu

MWIMBAJI nguli wa muziki  wa Injili barani Afrika, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.


Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama muimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake Sarah K wa Kenya  na Ephraim Sekeleti  wa Zambia ambao watafikisha shukrani za Watanzania baada ya kufanya uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu, uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Kinondoni Revival yachomoza Tamasha la Krismasi



Na Mwandishi Wetu

KWAYA mahiri ya nyimbo za Injili, Kinondoni Revival ni mojawapo ya watakaosindikiza Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama maandalizi ya kuelekea tamasha hilo yanaendelea kufanyika kupitia kamati yake.

Saturday, November 21, 2015

UKAWA WAPINGA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI BILA MATOKEO YA ZANZIBAR


Vyama vinavyounda Ukawa wamesema wamemwandikia Spika wa Bunge, Job Ndugai barua kutaka kujua uhalali wa Rais John Magufuli kuhutubia Bunge bila matokeo Rais wa Zanzibar kujulikana.

Katika mkutano wao na waandishi leo, wamesema kuwa hawatakubali Katiba ivunjwe kwa kumruhusu Dk Shein kuingia bungeni wakati muda wake wa kushika madaraka ulishapita.
Katika hatua nyingine, Umoja huo umesema wabunge wa kambi ya upinzani bungeni wamekubaliana kuchanga kila mmoja Sh 300,000 kwa ajili ya kuchangia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo.
Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwenye mkutano wa waandishi wa habari bungeni baada ya kikao cha wabunge wote wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Pia wamekubaliana Jumamosi ya Novemba 21, wataenda wabunge wote kuungana na viongozi wengine wa kitaifa kumzika marehemu Mawazo.

AHAZI MODERN TAARAB KUTAMBULISHA NYIMBO ZAO MPYA NDANI YA JIJI LA ARUSHA DECEMBER 11

Mfalme mzee Yusuphy akiwa anawatumbuiza wapenzi wa bendi ya Jahazi modern taarab

DK. TULIA WAKATI WA NJIA YAKE KUELEKEA UNAIBU SPIKA



Dk. Tulia Ackson amepita bila kupingwa baada ya kuchaguliwa na wabunge wa CCM kugombea nafasi ya Unaibu Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

RAIS MAGUFULI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI WA UFARANSA NA AWASILI MJINI DODOMA KWA GARI


NEC YATANGAZA VITI VYA MADIWANI WATEULE 1393


SIKU YA WATOTO NJITI


 Mwanzilishi wa Mfuko wa Doris Mollel, Doris Mollel akizungumza katika kilele cha maazimisho ya siku ya watoto waliozaliwa kabla ya siku (njiti) katika mkutano ambao umefanyika leo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick.

WALIOJENGA BILA KUFUATA TARATIBU ZA UJENZI NYUMBA ZAO KUBOMOLEWA KATIKA MANISPAA YA KINONDONI


AECF KUENDESHA SHINDANO LA UFADHILI WA BILIONI 17 KWA MAKAMPUNI YA KILIMO NA BIASHARA


HAWA NDIO WACHIMBAJI WALIOFUKIWA NA KIFUSI KWA SIKU 41.


Watu watano kati ya sita waliofukiwa katika machimbo ya manyara kwa siku 41 wameokolewa usiku wakiwa hai.

RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MAWENZI.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA DODOMA.

MBILINYI ATAMBA KUENDELEZA UBABE JUMAPILI

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi ametamba kumsambalatisha Said tompoo wa bagamoyo wakati wa mpambano wao utakaofanyika novemba 22 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam

bondia huyo alieweka kambi nje ya jiji la Dar es salaam amesema kuwa ajakikisha anacheza kufa na kupona kwa ajili ya kumsambalatisha bondia huyo

Mbilinyi aliyopo katika usimamizi wa Super D Boxing Promotion amesema kwa sasa ni wakati wake kwani akina wa kumsimamisha kabisa katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine yatakayowakutanisha bondia Pius Kazaula wa morogoro atakaezipiga na Abdalla Ruwanje na

Ramadhani Kumbele atakabiliana na Julius Kasarawe wakati Ibrahimu Tamba atamenyana na Baraka Mwakansope wa mbeya

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile

Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi

pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Kocha Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

STARTIMES YATETA NA MAWAKALA WAKE

UNIVERSAL POSTAL UNION (UPU) CALL FOR REFORMS IN POSTAL SECTOR

IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MKOANI MBEYA

DC PAUL MAKONDA AZINDUA UMOJA WA WATENGENEZAJI KEKI TANZANIA (TCBA)

MSAADA WA WASAMARIA WEMA WA MATIBABU UNAHITAJIKA KWA DADA HUYU

Ndugu Wasamaria wema