TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, August 13, 2014

Breking Newz:Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni unateketea kwa moto hivi sasa.

Msikiti wa Mtambani,uliopo Kinondoni jijini Dar,hivi sasa umeteketea kwa moto na  kusababisha hasara kubwa ya mali zilizokuwemo, Full Utamu baada ya kutaarifiwa kwa tukio hilo  la moto,iko kazini na punde itakuarifu kilichokuwa kikijiri eneo hilo ikiwemo pia na kutaka kufahamu nini hasa chanzo cha moto huo,uliowashtua wakazi wengi wa eneo hilo la Kinondoni na kwingineko. 

Juu na chini ni sehemu tukio hilo la kuteketea kwa moto kwa msikiti huo
wa Mtambani, likiendelea hivi .


No comments:

Post a Comment