TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, August 13, 2014

NECTA YATUMIWA KUPOTOSHA NA KUTAKA KUSHAWISHI UMMA KWENYE MACHAFUKO YA DINI TANZANIA

Kijana huyu, (Mahamoud Athuman), mdiye ambaye ameweka Post ya Uchochezi ya Kuhamasisha Machafuko kwa Kutumia Ngao ya DINI Zetu, huku akisema yeye ni Kutoka NECTA, nukuu ya haya aliyoyaweka ndani ya post zake ni kama :
Necta
August 12 at 7:35am ·
JE! NI KWELI SERIKALI HAINA DINI? Miss Demokrasia Tanzania and Entertainment Co Ltd's photo. HUSUSAN SERIKALI HII YA KIKAFIRI YA TANZANIA, HUADANGANYA WAUMINI ATI BUNGE HALINA DINI, ALAFU BUNGE HILI HILO HUWA KAMATA MASHEHE WENYE KUTANGAZA KUWA YESU SI MUNGU WALA SI MWANA WA MUNGU, NA KUWA ACHA MAPASTA WENYE KUTANGAZA KUWA YESU NI MUNGU, hii ni Vice Verse, IKIWA KATIBA HIO HIO YASEMA HAINAY DINI, KWANINI MUWASHIKILIE MASHEKH KWA KUSEMA YESU SI MUNGU? ALAFU MUACHE MWENYE KUSEMA YESU MUNGU? hakika serikali ina dini na dini yaKe ni huohuo UKRISTO, HEBU TUIANGALIE HII VICE VERSE, KWA WENYE AKILI MTANIELEWA NA VICHWA PANZI HAMTANIELEWA.
==========================================
Post Ingine aliyoweka ni hii:
Necta
August 12 at 6:31pm · Edited ·
HABARI ZENU WAPENDWA.
NECTA TUPO KWA AJILIENU HADI WA TANZANIA WOTE WAELIMIKE.
Gonga Like ikiwa wakubaliana Nasi au towa Maoni yako.
LikeLike · · Share · 199
Necta
August 11 at 10:55pm · Edited ·
DEMOCRACIA HAPA KUNA NENO 2 NA LUGHA MBILI TOFAUTI, DEMO nineno Limetokana na Lugha ya Ki Faransa likiwa na Maana Shetani CRACIA nineno Limetokana na Lugha ya Kilatin Likifahamika Kwa CRATIA lenye Maana Sheria. KWAHIO UKI YAAMBATANISHA MANENO HAYA " DEMOCRATIA" MAANA YAKE "UTAWALA WA SHETANI" au (Devil's Law)
Miss Demokrasia Tanzania and Entertainment Co Ltd's photo. Kwahio Kila Mwenye Kuitumikia katiba Hii ya Democratia kwa njia yeyote basi Jitambue kwamba Wewe Wamtumikia Shetani, haijalishi kwamba wewe Ni Suleiman au Musa. na Huto pata Radhi za Muumba Mpaka Utubu na Uachane kabisa na Katiba ya Ma Demo.
LikeLike · · Share · 14181
Necta
August 12 at 8:37am ·
Miss Demokrasia Tanzania and Entertainment Co Ltd's photo. UPUMBAVU NA UONGO WA PAULO
ULIPOWAANGAMIZA MAMILIONI YA
WAKRISTO WALIKWISHAKUFA NA
WATAKAOKUFA BAADAYE KABLA
HAWAJASILIMU.Anasema Mwenyewe,Nasema
tena,Mtu asidhani ya kuwa mimi ni
mpumbavu;Lakini mjaponidhania
hivi,Mnikubali kama mpumbavu,ili mimi nami
nipate kujisifu ngaa kidogo,Ninenalo silineni
agizo la Bwana,bali kama kwa
upumbavu,katika ujasiri huu wa kujisifu.soma
2 wakorintho 11:16.Akasema tena,Lakini,iki
wa kweli ya Mungu imezidi kudhihirisha
utukufu wake kwa sababu ya Uongo
wangu,Mbona Mimi ningali nahukumiwa kuwa
ni mwenye dhambi? Warumi 3:7.HUYO NDIYE
PAULO,mtume asiyejulikana alitokea wapi?
Hajulikani Baba yake,Hata uzaliwa wake ni wa
mashaka,alidanganya mara kibao kuhusu nchi
aliyozaliwa.WAKRISTO HAWATAMSAHAU
MILELE NA MILELE,kwani uongo wake
umewanasa wengi.
=========================================
Kwa yeyote anayefahamu mahali anapopatikana huyu kijana tunaomba kupata taarifa haraka iwezekanavyo, piga Simu hii +255-767-869133
au Email : baloziwademokrasiatanzania@yahoo.com / www.missdemokrasiatanzania@yahoo.com, kwa taarifa zaidi pia Tembelea Mitandao Yetu ya : www.missdemokrasia.blogspot.com,
www.baloziwademokrasiatanzania.blogspot.com. www.ambassadorofdemocracytanzania.blogspot.com, www.missdemocrasiatz.com,
tunawaomba Watanzania popote pale, kuwa makini sana katika wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Viongozi, Kutofuata Mikumbo ya Maneno ya Ushawishi wa baadhi ya Makundi ya Watu wanaotaka kufarakanisha jamii ya Watanzania ili kutokea uvunjifu wa Amani. Usikubali kusikiliza Upuuzi wa Mtu yeyote isipokuwa unatakiwa kutoa taarifa za haraka pindi unapobaini kuwapo kwa watu, makundi, na hata Viongozi wenye Tabia zinazofanana na hizo. Kumbuka kuwa wakati huu kuna wimbi kubwa la watu ambao wanatumika katika kutaka kuleta mafarakano baina ya Jamii ya Watanzania, katika kutumia Lugha mbaya, Nafasi za Viongozi, Dini, na Alama za Nchi. Miss Demokrasia Tanzania & Balozi wa Demokrasia Tanzania, tupo na tutakuwapo katika kuhakikisha tunakomesha Tabia hizo ambazo Baadhi ya Watu wameendelea nazo kama kuwa ni Haki yao kufanya hivyo. tunawaomba kwa pamoja watanzania kushirikiana katika kuhakikisha tunawatia hatiahani watu kama hao, na mtu yeyote anayetumika ama kutumiwa, basi atambue kuwa wakati yeye akitumika kufanya hayo pia yeye hatatumika kufanyiwa Vivyo hivyo, na kumbuka pindi utakapobainika hakuna kitakachokuwezesha kukwepa Hukumu ya Wananchi. Hukumu hii ni ile ambayo hakuna Kiongozi wala Mtu yeyote atakayetia neno lake katika kutaka kupindisha Ukweli, maana hakuna Ukweli wowote ule utakaopindishwa na mtu au watu kwa ajili ya FEDHA ama Cheo,na yeyote mwenye kuonekana kusaidia hali ya watu kama hao pia bila kuangalia Fedha zake ama Cheo chake, Hukumu ya Wananchi ndiyo itakayoamua juu yake. Hivyo wewe Mahamoud Athuman, Popote pale ulipo Tunakuomba Ujisalimishe mwenyewe maana hata hivyo haitakuchukua muda. tutakukamata.

No comments:

Post a Comment