TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, April 24, 2016

BONANZA NSSF MATUKIO YA PICHA

 Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina Kayumba, akishiriki katika mchezo wa kufukuza kuku, wakati wa Bonanza la Usalama wa Afya mahali pa kazi, lililofanyika Dar es Salaam juzi kwa udhamini wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
 Afisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Aysha Sango (kushoto), akikabidhi zawadi ya fulani kwa mmoja wa wanachama wapya waliojiunga na shirika hilo, wakati wa Bonanza la Usalama wa Afya mahali pa kazi lililodhaminiwa na NSSF.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Bw. Anthony Mavunde, akimkabidhi, Nahodha wa NSSF, Pili Mogola, kombe la mshindi wa kwanza wa Netiboli, wakati wa Bonanza la Usalama na Afya mahali pa kazi, lililofanyika Dar es Salaam juzi na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dar es Salaam juzi.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Bw. Anthony Mavunde (kulia) na Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina Kayumba, wakishiriki kufanya mazoezi wakati wa maadhimisho ya Bonzanza la usalama na Afya mahali pa kazi lililodhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment