Kapteni
mpya wa timu ya Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mjini,
Mh. Sixtus Mapunda akitoa maelezo kwa kikosi hicho cha Bunge muda mfupi
kabla ya kuanza kwa mchezo wao huo dhidi ya timu ya Baraza la
Wawakilishi mchezo uliochezwa katika uwanja wa Amaan,
Waziri wa Kilimo, Mfugo na Uvuvi Mh. Mwigulu Nchemba akipata picha ya pamoja na mmoja wa wachezaji wa Baraza la Wawakilishi 








Viongozi wakiwa katikajukwaa maalum la wageni waalikwa.










Mbunge
wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye ni
Mwenyekiti wa timu ya Bunge (wa pili aliyesimama nyuma) akipata picha
ya pamoja na baadhi ya vijana waliojitokeza katika mchezo huo wa
kuimalisha Muungano.
Mbunge
wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye ni
Mwenyekiti wa timu ya Bunge na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh.
Mwigulu Nchemba wakipata picha pamoja na Vijana wa Visiwani Zanzibar
mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Bunge na Baraza la Wawakilishi
ambao uliisha kwa sare ya bao 1-1.
No comments:
Post a Comment