TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, April 26, 2016

Maadhimisho ya Siku ya YWCA Duniani Yalivyofanyika Kanda ya Ziwa Mjini Shinyanga





Akizungumza katika maadhimisho hayo mgeni rasmi ambaye ni kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga Josephine Matiro alikemea tabia ya wazazi na walezi kuwapa "Samba" Watoto wa Kike "Dawa ya kusafisha nyota watoto wa kike ili wapendwe na wanaume" hali inayochangia watoto kupewa mimba wangali wadogo matokeo yake kubaki wanalalamika wakati wao ndiyo chanzo cha matatizo. Matiro aliagiza waganga wa jadi na wazazi wanaowapa "Samba" watoto wao wakamatwe kwani wanaharibu watoto na kusababisha tatizo la mimba na ndoa za utotoni kuendelea kuwepo katika jamii. Mwandishi mkuu wa Malunde1 blog,Kadama Malunde alikuwepo eneo la tukio ametuletea picha zifuatazo Katibu wa YWCA mkoa wa Shinyanga Maryciana Makundi akizungumza wakati wa maadhimisho hayo katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga ambapo alisema YWCA Tanzania ilianzishwamwaka 1959 ikiwa ni miongoni mwa nchi 125 duniani zinazounganishwa na World YWCA ambayo makao yake makuu yapo Geneva Uswis.Alisema maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka mwezi Aprili yakiwa na lengo la kujenga jamii yenye kuheshimu utu wa binadamu,kutetea na kulindaa haki,usawa na amani kwa wote AKC kwaya kutoka Kanisa la Kambarage wakitoa burudani

No comments:

Post a Comment