>KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA, KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI AHMED. Z. MSANGI ANAWATAKA WANANCHI WOTE WA MKOA WA MBEYA KUENDELEA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA, 2014 KWA AMANI NA UTULIVU KWA KUFUATA SHERIA/KANUNI NA TARATIBU TULIZOJIWEKEA.
>AIDHA ANAENDELEA KUSISITIZA USHIRIKIANO KUTOKA KWA WANANCHI HASA KATIKA MWAKA HUU MPYA.
>MWISHO KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA, ANAWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA 2014, NA WENYE MAFANIKIO.
No comments:
Post a Comment