on FEBRUARY 25, 2014 in JAMII
Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini ZanzibarMwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai akielezea matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai (hayupo pichani) alipokuwa akizungumzia matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
‘UWAZI’ LAGAWA ZAWADI KIBAO KWA WASOMAJI GONGO LA MBOTO!
Msomaji aliyejulikana kwa jina la Mama Irene akipewa zawadi na Mr. Uwazi.
Binti aliyejitambulisha kwa jina la Nasra akiwa na Mr. Uwazi.
Msomaji wa Uwazi, aliyejitambulisha kwa jina la Joel, akipokea zawadi ya sabuni baada ya kukutwa akisoma gazeti la Uwazi.
Wasomaji wakinunua gazeti la Uwazi ili wajipatie zawadi.
Uwazi likigombaniwa.
‘Crew’ ya Uwazi iliwanasa kuku hawa wa kienyeji kwenye soko moja huko Gongo la Mboto jijini Dar, wakati wa ugawaji wa zawadi.
Mr. Uwazi ‘akimwaga’ zawadi.
…Vuguvugu la zawadi za Uwazi likiendelea.
Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli, akisherehesha shughuli hiyo ya utoaji zawadi.
Wasomaji wakiulizia gazeti hilo kwenye moja ya meza ya kuuzia magazeti.
GAZETI la Uwazi leo liligawa zawadi kedekede kama njugu kwa wasomaji waliokutwa wakinunua gazeti hilo maeneo ya Gongo la Mboto jijini Dar. Tukio hilo ni moja ya harakati za kuhakikisha gazeti hilo, mojawapo ya magazeti pendwa ya kampuni ya Global Publishers, linawafikia wasomaji wake sehemu zote waliko nchini.
(Habari/ Picha: Brighton Masalu /GPL)
No comments:
Post a Comment