Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion Amoni Mkoga (kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam 18 Februari-214 kuhusina na maandalizi ya semina ya hatimilki kwa wasanii wa Bongo Movie itakayofanyika katika ukumbi wa Vijana kinonondoni 21-Februari 2014 (katikati), Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengere (kushoto), Meneja Msaidizi Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Matilda Nyallu.Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengere akifafanua jambo kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment