Golikipa wa Oilcom Goodluck Nicholus, akiudaka mpira
wa kona uliopigwa langoni kwake.Mohamed Kamonja (kushoto) akishangilia bao
aliloifungia timu yake Alosco na mchezaji mwenzake Feisal
Mohamed, wakati wa mchezo huo uliofanyika jana kwenye uwanja wa Muhimbili jijini Dar es salaamNassor Said wa Alosco akiwatoka Mrisho Hamis
(katikati) na Jabu Maulidi (7), wote wa Oilcom.Mrisho Hamis wa OilCom (kushoto) akikimbilia mpira na
Salum Ahamad wa Alosco, wakati wa mchezo huo. Timu
hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2.Mrisho Hamisi (mwenye mpira) wa Oilcom, akimtoka
Nassor Said wa Alosco.Nassoro Mohamed wa Oilcom akimpoteza Salum
Ahamad (12) wa Alosco wakati wa mchezo huo.Saidi Mradi wa Oilcom (anayepiga mpira), akifuatwa na
Shaaban Hassan wa Alosco.Omar Wenge wa Oilcom (kushoto), akipambana na
Abubakar Sadiq (kulia) wa Alosco.
Kikosi cha timu ya Alosco Kikosi cha timu ya Oilcom

No comments:
Post a Comment