TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 12, 2014

TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA.

01 Mwenyekiti wa kamati ya pamoja ya mashirikiano kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na la Zanzibar (ZBS) Bwa. Suleiman Masoud Makame akiitambulisha kamati ya watalamu yenye wajumbe nane wanne kutoka Bara na wane Zanzibar kwa Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar. 02
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akimkabidhi ripoti ya Kamati ya pamoja ya mashirikiano Mhe. Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar. 03
Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi (alie simama) akizungumza katika Mkutano wa uzinduzi wa kamati ya mashirikiano ya (TBS) na (ZBS) kulia ni Mkurugenzi Mkuu ZBS Bwa. Khatib Mwalim na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Viwango TBS Bwa. Leandr Kinabo. 04
Baadhi ya watendaji wakuu wa tasisi mbili wakiskiliza nasaha za Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi (hayupo pichani) mara baada ya kuizindua Kamati yawatalamu katika Mkutano uliofanyika ofisi ya Viwango Amani Zanzibar. 05 
Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi katika picha ya pamoja na watenandaji wa Tasisi mbili zinazoshuhulikia ubora wa viwango Tanzania.
 (Picha na Makame Mshenga wa Maelezo-Zanzibar).
============================================================

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AKUTANA NA WADAU WA PSPF

=====================================================================
IMG_0785 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel akiongea  na Watumishi wa Wizara naTaasisi zake katika Kikao cha cha kujadili Fursa mbalimbali kwa Maendeleo ya Wizara  kilichofanyika  Jijini Dar es Salaam leo
IMG_0828 
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Bwana James Kajugusi akitoa mada katika Kikao cha kujadili Fursa mbalimbali kwa maendeleo ya Wizara na Taasisi zake kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam IMG_0840 
Meneja Msaidizi wa Mfuko wa Uchangiaji wa Hiari kutoka  Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) Bi. Matilda Nyallu akitoa mada kwa Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya kujiunga na Mpango wa Uchangiaji kwa Hiara
  (Picha zote na Benjamin Sawe wa Wizara ya Habari)

No comments:

Post a Comment