Wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wameendelea kupata taabu ya usafiri ususani wakati wa asubuhi na wakati wa jioni kwa kuwa mida hiyo ndiyo watu wengi wanakuwa wanatoka makazini.
pamoja ha hali hiyo pia wakazi wengi wanalazimika kulipa gharama za juu kwa kuwa usafiri unakuwa ni tatizo ambapo wenye vyombo wengi wa usafiri ubadili njia zao za halali na kwenda barabara wasizopangiwa kwa lengo la kujipatia kipato kubwa kwa maana wanapandisha gharama kutoka bei yake na uongeza zaidi ya mara tatu mpaka nne.
hali ambayo uwalazimu wakazi wengi wa jiji kutembea kwa miguu ili kuepusha gharama zisizokuwa za lazima kwao kwa kuwa hata hali ya maisha kwa wakazi wengi wa mjini imemeendelea kuwa ya hali ya juu kutokana na kukua kwa kasi ongezeko la miundo mbinu.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu mchimati@gmail.com au piga simu 0713869133.

No comments:
Post a Comment