TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 24, 2014

Mwanamke afanyiwa ukatili Bukombe Geita.

Wanawake wa Tanzania tukimbilie wapi? Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita...

Wilaya Ya BUKOMBE mkoa GEITA.   ILIRIPOTIWA NA RFA.
Ni matukioa yanayotokea Mara kawa mara. Wahanga(watendewa) ni WANAWAKE....See More
Wanawake wa Tanzania tukimbilie wapi? Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita...

Wilaya Ya BUKOMBE mkoa GEITA.
ILIRIPOTIWA NA RFA.
Ni matukioa yanayotokea Mara kawa mara. Wahanga(watendewa) ni WANAWAKE.

Cha ajabu hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza vitendo hivi....

Wanawake tusimame pamoja kusema inatosha Unyama huu tunaofanyiwa...

Poleni kwa picha mbaya sana, lakini tafakari maumivu aliyopata huyu mwanamke maskini ya Mungu...

Natamani hamasa ya kutokomeza ukatili ingefanyika kwa Chopa kama ....... malizia mwenyewe
  • Jackson B Derick Mungu apishe mbali na amsamehe huyu aliye fanya haya maana hakujua anafanya 
    nini Mungu yu anasema "hukumu ni juu yangu mimi" huyu aliyehukumu ameenda kinyume na sheria ya Mungu. Lets Turn on our backs tuache kujiondoa ufahamu na kufanya haya mabaya.
  • Godfrey Fidolin Otto Mhillu ninaiomba sanasana serikal ichukue hatua kali za kisheria dhidi ya watu wanaowafanyia wanawake unyama kama huo, tubadilike jamani tusiendelee kuvumilia haya maovu tuwachukulie hatua hawa watu wenye roho za kinyama na, tumuogope Mungu jaman
  • Mpalule Shaban

No comments:

Post a Comment