TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, January 23, 2014

WANANCHI WATAKIWA KUJIUNGA NA CHF HILI KUCHANGIA MABORESHO YA HUDUMA ZA MATIBABU-DC RUANGWA AGNES HOKORORO (MB)

211Nawaambieni CHF ndiyo mkombozi wa huduma za matibabu sasa…Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Agnes Hokororo (MB) akitoa rai kwa wananchi wake  Wilayani humo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uhamasishaji wananchi kujiunga na CHF ulioenda sambamba na upimaji wa afya bure chini ya uratibu wa NHIF Lindi uliofanyika  leo hii kwenye viwanja vya CWT Ruangwa.069Wananchi wakimsikiliza mkuu wa wilaya Agness Hokoro hayupo pichani wakati wa uzinduzi huo .
185
Meneja wa NHIF mkoa wa Lindi Fortunata Raymond  akiwaeleza wanahabari (hawapo pichani) namna ya utekelezaji wa zoezi la uhamasishaji wa wananchi kujiunga na CHF utakavyoendeshwa,sambamba na  mafanikio yanayotarajiwa kutokana na mkakati wa pamoja wa Mfuko na Mkuu wa wilaya ya Ruangwa ulivyokusudiwa.
229
 Upimaji wa afya bure ukiendelea,madaktari wa mfuko na hospitali ya wilaya wameendelea kutoa huduma za uwiano wa uzito wa mwili (BMI),shinikizo la damu (BP) na sukari ambapo suala la lishe na shinikizo la damu (BP)ni changamoto  iliyoweza kubainika hivyo ushauri ulitolewa,kushoto ni Dr. Rashida Omari  wa hospitali ya wilaya akimpima kiwango cha sukari mzee Abdalah Ngawenje. 239 
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Agnes Hokoro (MB) akipima BMI kwenye viwanja vya CWT,anayempima ni afisa wa mfuko ofisi ya mkoa wa Lindi Laurent Hoja

No comments:

Post a Comment