TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, January 21, 2014

Ya huyu Mwanamke wa Russia kukalia hiki kiti chenye umbo la Mwanamke wa Kiafrika umeiona?

Screen Shot 2014-01-22 at 9.57.10 AM
Russian Socialite ambae ni muhariri wa jarida la Garage magazine, Dasha Zhukova, ameingia kwenye maporomoko ya matusi na maoni mengine mazito ya watu mbalimbali mtandaoni baada ya kusambaa kwa picha inayomuonyesha akiwa amekaa kwenye kiti kilichotengenezwa kwa mfano wa Mwanamke wa Kiafrika.
Mwanamke huyu ambae anasema ana mapenzi na fashion pamoja na usanii wa vitu kama hivi amekosolewa na wengi ambapo baadhi ya Wanawake hata wenye ngozi kama ya Dasha, wamemkosoa huku wengine wakiuliza ‘bado tunafanya vitu hivi mpaka huu mwaka wa 2014?’
Screen Shot 2014-01-22 at 9.38.20 AM

No comments:

Post a Comment