TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, January 26, 2015

Dr. Shein azindua sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa CCM

unnamed1Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimia miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.[Picha na Ikulu.] 
unnamed2 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali wa CCM wakiwa katika uzinduzi wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa CCm katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,wakiwepo Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana na Nainu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai(wa tatu kulia)Picha na Ikulu.] unnamed3Vijana wa Chipukizi wa CCM Kisiwani Pemba wakiimba Wimbo Maalum wa kuzaliwa CCM wakati wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 38 katika uwanja wa  Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] unnamed4 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika uwanja wa  Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba kuzindua sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM,[Picha na Ikulu,] unnamed5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana na Nainu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Bakari Mshindo (wa tatu kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (kushoto) wakipiga makofi ulipopigwa wimbo wa Chama kumpokea Dk.Shein alipofika kuzindua Sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,[Picha na Ikulu.] unnamed6 Baadhi ya WanaCCM wa Mikoa miwili ya Kisiwa ca Pemba wakiwa katika Uzinduzi wa Mkutano Maalum wa Sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba uliohutubiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] unnamed7Picha ya Muasisi wa Chama cha Mapinduzi CCM na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ikinyanyuliwa juu wakati Wimbo maalum ukiimbwa na Vijana wa Chipukizi walioshiriki halaiki katika uzinduzi wa maadhimisho ya Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika leo katika uwanja wa  Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] unnamed8Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akisema machache na kumkaribisha katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana ili awaslimie wananchi wa Mikoa ya Pemba wakati wa  uzinduzi wa maadhimisho ya Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika leo katika uwanja wa  Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] unnamed9Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar walipokuwa wakiwasalimia WanaCCM wa Mikoa miwili ya Pemba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika leo katika uwanja wa  Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] unnamed10Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana baada ya kumalizika kwa Mkutano wa maadhimisho ya sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM uliofanyika katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]  1aKatibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho. 2aNape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akizungumza na Daniel Chongolo Mkuu wa mawasiliano CCM kabla ya kuanza kwa mkutano huo wa uzinduzi  4a 

No comments:

Post a Comment