
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akihutubia
wananchi wa kijiji cha Utete Njiwa Jimbo la Ulanga Mashariki Wilaya
Ifakara kuhusu Wakulima Waliovamia Mashamba ya Bonde la Mto Kilombero
Mkoani Morogoro(Na: Mpiga Picha Wetu)

Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa
akimsikiliza Jambo Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Haji Mponda ambaye
ni Mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki Wakati wa Mkutano wa Hadhara
uliofanyika kijiji cha Lugala kuhusu Mashamba ya wakulima wa Bonde la
kilombero Wilayani Ifakara Mkoani Morogoro kulia ni Mkuu wa Wilaya ya
Kilombero Bw Francis Miti.(Na: Mpiga Picha Wetu)
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akitoa
Maelekezo kwe Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Ulanga Bw John Makotta
kuhusu Mipaka ya Mashamba ya wakulima kwenye Bonde la Mto Kilombero
Mkoani Morogoro jana(Na: Mpiga Picha Wetu)
No comments:
Post a Comment