Picha kutoka maktaba ya Dr. Slaa akiwa Songea. |
Dr Slaa amekwamba katika kijiji cha Jojo kata ya Santilya Mbeya vijiji
baada ya helikopta kushindwa kuruka kutokana na ukungu mzito
ulioambatana na mvua tangu saa 5 asubuhi. Amelazimika kwenda kwa gari
hadi Ilembo saa 6:25 mchana huu.
No comments:
Post a Comment