Wanawake wa Tanzania tukimbilie wapi? Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita...
Wilaya Ya BUKOMBE mkoa GEITA. ILIRIPOTIWA NA RFA.
Ni matukioa yanayotokea Mara kawa mara. Wahanga(watendewa) ni WANAWAKE....See More
Wilaya Ya BUKOMBE mkoa GEITA. ILIRIPOTIWA NA RFA.
Ni matukioa yanayotokea Mara kawa mara. Wahanga(watendewa) ni WANAWAKE....See More

- nini Mungu yu anasema "hukumu ni juu yangu mimi" huyu aliyehukumu ameenda kinyume na sheria ya Mungu. Lets Turn on our backs tuache kujiondoa ufahamu na kufanya haya mabaya.
- Godfrey Fidolin Otto Mhillu ninaiomba sanasana serikal ichukue hatua kali za kisheria dhidi ya watu wanaowafanyia wanawake unyama kama huo, tubadilike jamani tusiendelee kuvumilia haya maovu tuwachukulie hatua hawa watu wenye roho za kinyama na, tumuogope Mungu jaman
No comments:
Post a Comment