Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akiwa katika gari linaloendelea na ujenzi wa daraja la Dumila.
Sehemu ya barabara iliyozolewa na maji ya mto Mkundi.
Waziri wa Ujenzi akikagua maeneo yaliyoharibika.
Dk. Magufuli akiendelea na kazi katika daraja hilo.
Kazi za ujenzi zikiendelea eneo hilo la daraja lililoharibika.
Dk. Magufuli akiwapa hi mafundi wanaoendelea na ujenzi wa daraja hilo.
WAZIRI
wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli amepiga kambi mkoani Morogoro
kusimamia mwenyewe ujenzi wa Daraja la Dumila ambalo ni kiungo muhimu
cha barabara ya Dodoma – Morogoro lililosombwa na mvua kubwa iliyonyesha
usiku wa kuamkia tarehe 22.01.2014 na kusababisha magari kutopita
kabisa ama yanayotoka upande wa Dodoma au Morogoro. Mbaya zaidi hakuna
njia nyingine mbadala
No comments:
Post a Comment