Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza
na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini
Arusha wakati wa Semina ya siku mbili kwa wafanya biashara hao
iliyomalizika jana, kuhusu
mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko
ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa
kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa
gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani
hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake
kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni
njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China.
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa
upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati
kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya
biashara hao iliyomalizika leo
No comments:
Post a Comment