Kikosi cha Timu ya Soka ya Simba Kilichoanza Dhidi ya Mtibwa
Nyuma
Kuanzia Kushoto: Kocha Msaidizi Seleman Matola,Tambwe,Amri
Kiemba,Joseph Owino,Jonas Mkude,Musoti.Mbele
Kushoto:Singano,Awadhi,Haruna Chanongo,Ivo Mapunda,Rashid Baba
Ubaya,Haruna Shamte.
Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa Nyuma kuanzia
Kushoto:JumaLuizio,Shaban Nditi, Hassan Ramadhan,Ally Shomary Salim
Mbonde.Mbele Kuanzia Kushoto : Jamal Mnyate,Said Mkopi,Shaban Kisiga,
Husein Sharif,Salvatory Mtebe,Mussa Mgosi.
Waamuzi wa Mchezo wa Leo wakiwa na Manaodha wa Timu Zote Mbili.
Wachezaji wa Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Wkishanilia Goli Lililofungwa na Musa Mgosi Katika Dakika ya 18 ya Mchezo.
Rashid Baba Ubaya Akitafuta Mbinu za Kumtoka Beki wa Mtibwa Sugar Said Mkopi.
Kipa wa Mtibwa Hasani Sharifu
Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo wakishangilia muda wote wa Mchezo
Golikipa wa Timu ya Mtibwa Sugar Hussein Sharif Akiwa Ameokoa Moja ya
Purukushani katika Lango Lake.Akishihudiwa na Beki wake Salim Mbonde
Pamoja na Mshambuliaji wa Simba Khamisi Tambwe.
Simba wakishangilia Goli lao lilofungwa na Khamis Tambwe Bao lililofungwa dakika 50 ya mchezo.
Mpira
Umemalizika Mtibwa 1 -1 Simba. Goli la Mtibwa Sugar Lilifungwa dakika
ya 18 ya Mchezo bao Lililofungwa na Mussa Mgosi .Hadi Mapumziko Mtibwa
walikuwa wanaongoza kwa Goli Hilo Moja.Kipindi cha Pili Mpira ulianza
kwa kasi Simba walishambulia Lango la Mtibwa mara kwa mara Na kujipatia
bao la Kusawazisha katika dakika ya 50 ya Mchezo.Katika Mchezo Mchezaji
wa Mtibwa Shaban Nditi Alionyeshwa kadi Nyekundu Dakika ya 69 baada ya
Kutoa maneno Machafu kwa Mwamuzi.Dakika ya 72 Said Ndemla anaingia Kuchukua nafasi ya Haruna Shamte,Dakika ya 75, Juma Mpakala Aliingia Kuchukua nafasi ya Jamal Mnyate.Dakika ya 87 wanafanya mabadiliko ya mwisho, aliingia Abdallah Salum Kuchukua nafasi Mgosi..
No comments:
Post a Comment