Mkurugenzi
wa Idara ya Habari- Maelezo, Bw Assah Mwambene akizungumza jambo wakati
wa mkutano wa waandishi wa habari na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi wa
Pensheni wa PSPF mapema leo katika Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar Es
Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa pensheni wa PSPF, Bw Adam Mayingu akizungumzia
mafanikio ya mfuko wa PSPF katika kipindi cha Miaka 15 tokea kuanzishwa
kwake katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika
Ukumbi wa JB Belmonte Jijini Dar.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mh Adam Mayingu (kushoto)
akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo, Mh Assah
Mwambene leo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo
wakati Mkurugenzi mkuu wa PSPF alipokuwa akizungumzia mafanikio ya PSPF
ndani ya miaka 15 tokea kuanzishwa Kwake.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF na wanahabari waliohudhuria
mkutano kati ya Waandishi wa habari na Mfuko wa Pensheni wa PSPF
uliolenga kuelezea mafanikio ya mfuko huo ndani ya Miaka 15 tokea
kuanzishwa kwake.
Mmoja
wa Waandishi wa Habari akiuliza swali wakati wa Mkutano kati ya Mfuko wa
Pensheni wa PSPF na waandishi wa habari uliofanyika leo Katika ukumbi
wa JB Belmonte, Jijini Dar Es salaam, Mkutano huo ulilenga kueleza
mafanikio yaliyopatikana kwa Kipindi cha Miaka 15 tokea kuanzishwa kwa
mfuko huo wa PSPF.Picha na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment