Mkuu
wa Kitengo cha Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto)
akizungumza huku Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa NBC, Mongateko
Makongoro akimsikiliza katika Mkutano wa 24 wa Wadau na Wanachama wa
Mfuko wa PPF uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha.
Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa NBC, Mongateko Makongoro akizungumza katika Mkutano huo.
Kaimu
Mhazini Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, Ivan Tarimo, (wa pili kushoto),
akizungumza wakati wa tafrija ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na
benki hiyo kwa wajumbe wa mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa Mfuko
wa Pensheni wa PPF jijini Arusha hivi karibuni. Wengine pichani kutoka
kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhan Khija, na
watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (watatu kulia),
akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki
ya NBC Limited, kwa wajumbe wa mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa
PPF jijini Arusha. Wengine pichani kutoka kushoto ni Kaimu Mhazini Mhuu
Benki ya NBC, Ivan Tarimo, Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki,
Mongateko Makongoro, mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa
Pensheni wa PPF, Ramadhan Khija, na wafanyakazi wa NBC
No comments:
Post a Comment