Prof.
Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es
salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa
Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na mfuko huo
wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Seaescape, Uliopo Mbezi Beach Jijini
Dar Es Salaam.
Meneja
wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa
akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Penhsheni wa PPF
kwaa Waajiri wa Makampuni na mashirika mbalimbali iliyofanyika katika
ukumbi wa Seaescape, Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam leo.
Majaliwa
E Mkinga, Mchambuzi na Mtengenezaji wa Mifumo ya Teknolojia ya habari
na mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akielezea jinsi PPF
ilivyotengeneza mfumo wa kupata taarifa za wanachama kupitia simu aina
za Smartphone na kuutaja mfumo huo kuwa ni PPF TAARIFA App ambayo mteja
ataweza kuiweka katika simu yake ya mkononi.
Baadhi
ya waajiri wakielekeza kuhusu jinsi ya kuweka mfumo wa PPF Taarifa
katika simu zao za Smartphone leo katika semina iliyofanyika katika
Ukumbi wa Seascape hotel Mbezi beach Jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment