Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya
Contractus ya Poland, Bw. Witold Kartzewski (wapili kulia) na watendaji
wa kampuni hiyo, Daniel Junusz (kulia) na Honorata Musloviska Ofisini
kwake jijini Dar es salaam Machi9, 2015. Kampuni hiyo pamoja na mambo
mengine bingwa katika ujenzi wa vihenge vya kisasa vyenye uwezo wa
kuhifadhi tani nyingi za nafaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment