TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 13, 2012

BANGI LAVUTWA NJE NJE DAR ES SALAAM


akiwasha Bangi waziwazi
 akikoswa koswa na gari kwa maana alikuwa baranbarani
 akitafuta namna ya kuvuta
 hapa akisokota
 Jamaa ambaye jina lake alikuweza kupatikana mara moja, akisokota Bangi waziwazi kisha kulilipua(kuvuta), huku akijigamba kwamba yeye awezekaniki, kwa maana hata serikali inamtambua, na wakati akifanya hayo pia alikuwa akiendelea kutoa maneno ya vitisho kwa wapita njia na Raia waliokuwa wakimtazama, katika mtaa wa Twiga na Jangwani(Picha na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment