TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 13, 2012

YANGA KUIVAA SOFAPAKA YA KENYA KESHO


 Afisa habari wa Yanga Luisi Sendeu
 Mtaribu wa Elite Youth Soccer Academy, Salum Mkemy
Mtaribu wa Elite Youth Soccer Academy, Salum Mkemy, akifafanua jambo kuhusiana na mechi ya kimataifa ya kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Sofapaka ya Kenya, mchezo uliopangwa kuchezwa kesho kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Baadhi ya waandishi wa habari wakisikilizakwa makini mazungumzo ya Afisa habari wa Yanga na yale ya Mratibu wa Erite Youth Soccer Academy, Salum Mkemy, kuhusiana na makubaliano ya mpambano wa kimataifa dhidi ya timu ya Sofapaka kutoka Kenya, hafla hiyo imefanyika Makao Makuu ya Klabu ya Yanga-Janwani Dar es Salaam leo.(Picha Zote na Shaaban Mpalule)

No comments:

Post a Comment