TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, January 11, 2012

Ng'ombe wakali aina Nyankole kutoka Mwanza na Shinyanga



Ng'ombe wakali aina ya nyankole kutoka mikoa ya Kanda ya ziwa, wakisubiri kuchinjwa kama walivyokutwa katika hifadhi ya machinjio ya Ukonga Mazizini, Dar es Salaam leo.(Picha Zote na Shaaban Mpalule)

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA

Wakati Tanzania ikiwa imeadhimisha Mafanikio ya Uhuru wa Miaka 50, Idadi kubwa ya wakazi Bado hali zao ni duni, kutokana na Miundo mbinu, ukosefu wa Ajira, pamoja na hali mbaya ya kiuchumi, kama ambavyo Mzee Kichaka Pori, alivyokutwa katika pilika za kutafuta mahitaji yake ya kila siku, nje ya Jiji la Dar es Salaam leo.(Na:Mpiga Picha wetu)

Wachina la Tamasha la wasanii laja

 Mwenyekiti wa Bodi ya wajumbe wa China, Zhu Jin Feng(kati), Mwenyekiti bodi ya Biashara  Afrika Hao Jianguo(kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano na Udhamini, Yang Xiao, wakifafanua jambo kuhusiana na Tamasha la maadhimisho ya watu wa China kwa Mwaka huu, hafla hiyo imefanyika Katika Ukumbi wa Idara habari Maelezo, Dar es Salaam Leo(Picha na Shaaban Mpalule).
Baadhi ya watu wa china wakifutilia kwa makini mazungumzo hayo
 Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Dkt, Ramadhani Dau,wakati wa Mazungumzo na wawekezaji wa Nje kuhusu Ujenzi wa Daraja la Kigamboni
 Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Pombe Magufuli(kati) akiwa na Wadau wa Ujenzi katika Ndoto ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni
Picha inayoonyesha Ndoto za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni

No comments:

Post a Comment