TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, January 11, 2012

MASHUJAA MUSICA BENDI KATIKA USIKU WA 11/1/2012, JUMATANO-

 Wanamuziki wa kundi la MASHUJAA MUSICA, chini ya kiongozi wa Bendi Kajo Litunguru(kulia), akiongoza kucheza wakati wutunga Onyesho la Usiku huu, katika Ukumbi wa Mashujaa Club, Vingunguti Dar es Salaam, bendi hiyo siku ya Ijumaa itakuwa jukwaa moja na bendi mbili maarufu za Extra Bongo na Mapacha watatu katika ukumbi Bisiness, Victoria.
 Mcheza shoo wa Mashujaa Musica, Sweety Baby(kushoto), akiongoza wenzake kuburudisha mashabiki
 Rapa  nguli wa bendi hiyo, Sauti ya Radi,
 Rapa mashuhuri namba moja, Ibrahimu Mwana Kongoro(Milinda Nyeusi)
 Rapa- Zidan Chapati(Sauti ya Nyati)
 Mpiga Drama, Selle Kadanse
 Gitaa Rithimu, Baba Isaya(kushoto), na Amosi Mkono wa Nabii(Base)
 Mwimbaji na mchezaji nyota wa bendi hiyo, Jado Fid Jembe(kulia), akiongoza kutoa burudani
 Wadau Muziki nao hawakuwa nyuma, kupongeza, kama kamera ilivyomtazama Msanii wa Filamu za Kikomandoo Tanzania, Sulle Kato, baada ya kushindwa kustahimili husiku huu.
 Mchezaji wa kiume Kelvini, maarufu kama Sayona Kilikuu(kushoto) akiongoza katika vionjo
 Black Bell, Mtaalamu wa Masaauti, Pasia Budansi Kengele(kushoto) zadane chapati(Filigisi), Milinda Nyeusi, na wengine wakisakata Sebene hilo
 Mpiga Ngoma, Dula Ngoma
Sele Kadanse, akionyesha kukamilisha Burudani katika usiku huu

No comments:

Post a Comment