TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 13, 2012

ULONGONI VETERANI MAMBO SAFIIIIIIIII

 Mwenyekiti wa Timu ya Veterani ya Ulongoni(red) akifutilia kwa makini Mazoezi ya Timu hiyo, ambayo yameanza rasmi jana baada ya kukamilika ujenzi wa Uwanja wao
 Kocha Mchezaji wa Ulongoni(sim son) akitoa maelekezo kwa timu yake ya Ulongoni wakati wa mchezo dhidi ya timu ya vijana wa huko huko jana. matokeo katika mchezo ho 2-2
 Baadhi ya Vijana wakazi wa Ulongoni wakifuatilia kwa makini mazoezi ya timu zao
 Kocha wa Timu ya Vijana wa Ulongoni akitoa maelezo wakati wa mapumziko,
Mwenyekiti, akifafanua kwa kuonyesha Uwanja(haupo pichani) baada ya kutengenezwa na timu ya wachezaji vijana, ambapo alihaidi kuwapa zawadi timu ya vijana

No comments:

Post a Comment