TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 13, 2012

MASUJAA MUSICA ILIVYOPAGAWISHA MASHABIKI WAKATI WA ONYESHO LAO MUDA HUU


 Baasdhi ya Mashabiki wakipagawa na Mashujaa Muda huu, katik Onyesho la Bendi tatu za na Extra Bongo, pamoja watoto wa Mapacha watatu, kwenye ukumbi wa Business, Victoria jijini Dar Es Salaam, Mashujaa muda huu wanapiga wimbo wa Pili, wanakalia umea hao, hao mambo ni makali
 Wacheza Shoo wa Mashujaa Musica wakiwa katika eneo lao la kujidai, wapo kazini Muda huu wananchi wamechanganyikiwa, ukumbi ni shangwe na Vigelegele,chini ya Rais Mteule, Kajo Litunguru

 Wadau wa Muziki wa Dansi wanaendelea kufaidi Uhondo, ni jukwaa Moja Bendi tatu, mashujaa, Extra na mapacha watatu
Na huyo, Geuza Shingo muone Vizuri,ndiye Rais wa Mpya wa Bendi ya Mashujaa Musica, Kajo Litungu(Picha Zote na Shaaban Mpalule)

No comments:

Post a Comment