TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 13, 2012

GARI LENYE KONTENA LAACHA NJIA NA KUGONGA UKUTA DAR ES SALAAM LEO

 Gari hili liliacha njia na kugonga ukuta wakati likiwa na mzigo mkubwa wa Kontena, hali hii ni hatari kwa usalama wa Raia
 Baadhi ya mafundi wakijaribu kutelemsha Kontena hilo ili lipakiwe kwenye gari ingine
 Hali kwa Upande wa Pili ilikuwa namna hii
 Gari hili lilifika kwa lengo la kuhamisha mzigo wa Kontena
 Gari lenye namba hizi ndo lilipata ajali
Gari lenye namba hizi ndilo lilifika kuhamisha mzigo wa Kontena(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment