TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, July 29, 2014

Eid Mubarak: Watangazaji na viongozi wa Times Fm walivyouaga mwezi Mtukufu kwa futari

 ni siku ambayo waislamu Tanzania waliuaga mwezi kwa futari ya mwisho, waamini wa dini hiyo duniani leo wamesherehekea na kusherehekea siku kuu ya Eid el Fitre, hivyo(jana) ndio ilikuwa siku ya mwisho ya mfungo huo.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, uongozi wa 100.5 Times Fm na wafanyakazi wote walikutana na kupata futari ya pamoja na kuombeana kheri zaidi katika kazi.
Baada ya tukio hilo la pamoja, 100.5 Times Fm wakishirikiana na mashirika mengine rafiki ikiwemo Mohammed Enterprises Limited, M2 Advertising, Simba Trailers, Hugo Domingo, Shamo, Ifatar waliungana katika kupata chakula cha pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu/hatarishi wa shule ya msingi Wamato.

No comments:

Post a Comment