TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, July 28, 2014

MAANDALIZI YA MICHUANO YA NACTE INTER COLLEGE TANZANIA.-CHUO CHA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE (DACICO TANZANIA) KATIKA MAZOEZI MAKALI YA

 Baadhi ya Wachezaji wa Timu ya Chuo cha Uandishi wa habari na utawala, Dar es Salaam City College(DACICO TANZANIA), wakiwa katika Maandalizi Makali ya kujiwinda na NACTE INTER COLLEGE TANZANIA 2014/15, ambayo imepangwa kufamnyika tarehe  mwezi wa kumi na moja
Kutokana  na Kumalizika kwa Michuano ya Fainali za Kombe la Dunia Nchini Brazili, Baadhi ya Vijana wengi sasa wamekuwa wakifurahia mchezo wa Soka na muda mwingi mazoezi iwekuwa ni ngao ya kujiandaa kikamilifu, wanafunzi wa  Shule ya Msingi Kibamba CCM, kama walivyokutwa na Jicho la Kamera yetu.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment