TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, July 27, 2014

CAG AHUDHURIA KIKAO CHA 68 CHA BODI YA WAKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK, MAREKANI.

IMG_4972

CAG wa Tanzania Ludovick S. L Utouh pamoja na wajumbe wenziwe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa wakisaini ripoti 29 za taasisi za umoja huo zilizokaguliwa. Wajumbe hao ni Liu Jiayi kutoka China, Amyas Morse kutoka Uingereza ambae ni Mwenyekiti wa Bodi na Shashi Sharma kutoka India. Ripoti hizo zilisainiwa tarehe 24/7/2014.
IMG_4983
Picha ya makabidhiano ya mikoba ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa iliofanyika kati ya mjumbe kutoka China anayemaliza muda wake wa miaka sita aliyesimama wa pili kutoka kulia na mjumbe mpya kutoka India wa pili kutoka kushoto.
IMG_4996
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Bodi ya Umoja wa Mataifa na wawakilishi wao wa Umoja wa Mataifa.
IMG_5021
Picha ya pamoja kati ya CAG, watumishi wake pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri wa Ukaguzi wa Umoja wa Mataifa Kamlesh Vikamsey.
???????????????????????????????
CAG akifanya mahojiano na mwahandishi wa Habari wa redio ya umoja wa mataifa Bi Priscila Lecomte.

No comments:

Post a Comment