TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, July 27, 2014

TUHUMA NZITO KWA IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA, WATOTO NA NDUGU WA VIGOGO WAJAZA MAJINA NAFASI ZA KAZI UHAMIAJI TANZANIA.

Matokeo ya Usaili wa nafasi za kazi Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya Serikali kirahisi. Majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo.


1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
7. Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
8. John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
9. Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
19. Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda
Hii ni sampuli tu ila zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.
Nadhani ingekuwa vyema wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.
Alamsiki.

No comments:

Post a Comment