Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Maadhimisho ya
Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014, yaliyofunguliwa katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Uendeshaji wa UTT, Justine Joseph akitoa maelezo kuhusu fai anayoweza
kupata mwanachama mara baada ya kujiunga na mfuko wa Dhamana ya
Uwekezaji Tanzania.
Watu mbalimbali wakisoma vipeperushi vyenye maelezo ya huduma za UTT ili kujua faida za kujiunga na mfuko huo.
Ofisa
Mafunzo wa UTT, Hilder Lyimo akitoa maelezo kuhusu huduma wanazotoa kwa
watu walotembelea banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014 iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Waziri
Ramadhani akitoa maelezo kwa watu waliotembelea banda lao wakati wa Siku
ya Wahandisi iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika
Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya vijana wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa UTT waliotembelea
banda lao wakati wa Siku ya Wahandisi iliyoambatana na maonyesho ya
biashara yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Waziri
Ramadhani akitoa maelezo kwa watu waliotembelea banda lao wakati wa Siku
ya
Wahandisi iliyoambatana na maonyesho ya biashara yaliyofanyika Mlimani
City
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watu wakipata maelezo katika banda la UTT wakati wa katika Maadhimisho ya
Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014 yaliyofanyika katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Masoko wa UTT, waziri Ramadhani akiwa na Ofisa Uhusiano, Glory Temba
wakati wa maonyesho ya Wakandarasi yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment