SERIKALI YAPATA BILIONI 1.71 KUTOKANA NA MAONESHO YA VITO JIJINI ARUSHA.
Maonesho
hayo yalihudhuriwa na washiriki 813 kutoka katika nchi 26 duniani
ambazo ni Tanzania Marekani, Sri Lanka, India, Kenya, China, Ujerumani,
Namibia, Australia, Austria, Israel, Italia, Uingereza, Hong Kong,
Switzerland, Zambia, Madagascar, Afrika Kusini, Msumbiji, Urusi,
Cameruni, Canada, Malawi, Sudani, Malta, na Thailand). Aidha, wanunuzi
(buyers) wa madini walikuwa 353, Walioshiriki kuonesha madini kwenye
mabanda (Exhibitors) 300, na wageni mbalimbali 160.
No comments:
Post a Comment