Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani (kulia) akizungumza na
wananchi wa vijiji vinavyozunguka Hifadhi ya Msitu wa Sayaka katika
Kijiji cha Bugatu Wilayani Magu Mkoani Mwanza hivi karibuni. Aliahidi kwa niaba ya Serikali kupitiwa upya maeneo yoye ya Hifadhi yenye migogoro nchini na kutafutiwa suluhu ya kudumu. 
Mbunge
wa Jimbo la Magu, Boniventure Kiswaga (kulia) akizungumza na wananchi
wa Jimbo lake katika Kijiji cha Bugatu Wilayani Magu hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment