Meneja
wa Bia ya Ndovu Red Malt, Nicolas John akiongea wakati wa Uzinduzi wa
bia ya Ndovu Red Malt uliofanyika jana katika mgahawa wa 305 The Boks
uliopo Kinondoni jijini Dar e Salaam ambapo wateja zaidi ya 50
walihudhuria katika hafla ya uzinduzi wake. Meneja
Masoko wa vinywaji wa kampuni ya TBL Vimal Vaghmaria amesema: “Ubunifu
wa kila bidhaa yetu unalenga kukidhi matakwa ya watumiaji wake ambao ni
wateja wetu ambao wanahitaji kutumia bia zilizo bora na zinazokwenda na
wakati katika soko”.
No comments:
Post a Comment