Utafiti huu wa
Utumikishwaji wa watoto wa mwaka 2014 ni wa tatu kufanyika nchini ambapo utafiti
wa kwanza ulifanyika mwaka 2001 na wa pili ulifanyika mwaka 2006.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa maelezo ya utangulizi kuhusu Utafiti wa Utumikishwaji wa Watoto Tanzania wa Mwaka 2014 katika uzinduzi wa matokeo hayo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Dkt. Abdallah Possi akionyesha Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Utumikishwaji wa Watoto Tanzania wa Mwaka 2014. Uzinduzi huu umefanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Mwakilishi wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania, Azfar Khan akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Utumikishwaji wa Watoto Tanzania wa Mwaka 2014.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL GHULA)

No comments:
Post a Comment