TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, September 19, 2013

MAKAHABA KIZIMBANI

Na Jazila Mrutu

WANAWAKE watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Jiji Sokoine Drive, Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa wakifanya biashara ya kuuza miili yao. Mwendesha Mashtaka wa mahakama hiyo, Chrispine Ruiza mbele ya Hakimu Mkazi William Mtaki alisema, Septemba 11, mwaka huu watuhumiwa walikutwa katika maeneo ya Kinondoni jijini humo wakitenda kosa hilo.

Hata hivyo, Ruiza aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Atupele Abraham (22), Anameng Paul (20), Ashura Saidi (23), Elizabeth Philipo (24), Jenifer Enock (20) pamoja na Zabibu Rashidi (24). Aidha, watuhumiwa hao walikiri kosa ambapo Jenifer Enock atarudishwa kwao mkoani Tabora na wenzake kesi yao itatajwa tena Septemba 23, mwaka huu.
Picha Juu ni  Ant Ezekiel  aliposhindwa kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta , Poicha Chini ni kutoka  mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta  katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana akiwa AMETINGA  nguo fupi ambayo sio ya HESHIMA ambapo maungo yake yalikwa yanaonekana bila MKWARUZO KWARUZO

No comments:

Post a Comment