TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, September 17, 2013

Uganda: Walimu waweka mgomo, wadai nyongeza ya asilimia 20 katika mishahara…

Kutoka nchini uganda walimu wa shule za serekali wameamua kuanzisha mgomo wa kutokwenda kazini kufundisha mpaka pale Serikali ya Nchi hio iwaongeze walimu hao Asilimia 20 katika mishahara yao, ambayo ilikua ni ahadi kutoka serikali ya Uganda, lakini mpaka sasa serikali hio haijatimiza ahadi hio na kusababisha baadhi ya shule kutogawa huduma ya masomo kwa wanafunzi kutokana na hali ya mshahara mdogo wanaopata walimu wa shule hizo za serikali.

No comments:

Post a Comment