TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 19, 2014

SEMINA YA WASANII BONGO MOVIE TANZANIA NDANI YA VIJANA IJUMAA

Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere(kati) akifafanua jambo kuhusiana na Semina ya Wasanii Bongo Movie itakayofanyika Siku ya Ijumaa kwenye Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Dar es Salaam, kulia ni mkurugenzi wa Kampuni ya Chief Promotion, Amon Mkoga na Meneja Msaidizi wa PSPF, Matrida Nyallo. katika hafla iliyo fanyika kwenye Ukumbi wa Idara Habari Maelezo.
 Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere(kati) akifafanua jambo kuhusiana na Semina ya Wasanii Bongo Movie itakayofanyika Siku ya Ijumaa kwenye Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Dar es Salaam, kulia ni mkurugenzi wa Kampuni ya Chief Promotion, Amon Mkoga na Meneja Msaidizi wa PSPF, Matrida Nyallo. katika hafla iliyo fanyika kwenye Ukumbi wa Idara Habari Maelezo
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini

No comments:

Post a Comment