BREAKING NUUZ, AJALI MBAYA YA MAGARI IMETOKEA ENEO LA NANE NANE DARAJANI UYOLE MBEYA , YAJERUHI NA WATU WANNE WAHOFIWA KUFA HAAPO HAPO.SHUHUDIA
 GARI LA ABIRIA AINA YA HIACE LIKIWA IMEGONGANA USO KWA USO NA GARI AINA YA LAND CRUISER  
HIZI NI BAADHI YA MAITI ZILIZO OKOLEWA PUNDE BAADA YA AJALI KUTOKEA  
 
HIVI NDIVYO DALADALA HII ILIVYO HARIBIKA BAADA YA AJALI HIYO KUTOKEA  
 
DALADALA IKIWA IMEUMIA VIBAYA  
HILI NDILO ENEO AMBAPO AJALI HIYO IMETOKEA  
 TINGO WA DALADALA AKIWAANASHUSHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA  
 TINGO WA DALADA\LA AKIWA ANAPELEKWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA  
 MMOJA WA ABIRIA AKIKIMBIZWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA  
MWILI WA DEREVA WA DALADALA ALIYE FARIKI PAPO HAPO UKIPELEKWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA 
Habari Kamili inakuja
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment